Jifunze Kutengeneza WhatsApp Bot
WhatsApp Bot ni programu inayoweza kufanya kazi nyingi kiotomatiki kwenye WhatsApp kama:
- Automatic Status Viewing
- Automatic Responder
- Access ya GPT
- Anti Delete Message
- Anti View Once
- Movie Download
- Music Download
- Social Media Video Download
- Kufanyia Tag Wanagroup Wote
- Auto React
- Virtual Typing na Virtual Recording
- Kutengeneza Sticker
- Kuedit Picha
- Kutengeneza VCF File
- Kuzuia Mtu Asitumie Link Kwenye Group
- Kufanyia Save Kwa Kutumia Bot
- Bot Ina Magame Ya Kicheza Kupitia WhatsApp
- Kutunza Taarifa ya Picha By URL
- Kukaribisha Wageni na Kuwaaga Wanaoondoka Kwenye Group
- Status Views Boosting
- Automatic Send Messages
- Kutengeneza Logo
- Kutumia Video Call Kwa Bot
Gharama ya Kozi: $4 (~TSH 10,000)
Pakua Kozi Sasa